Natafuta kazi !!!

wingman7

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
346
Reaction score
76
habar zenu natafuta kazi nimesomea Mircosoft office na Tally je ntapata kazi?
 
Mkuu kwa tz ya leo bora ufikirie zaidi kujiajiri kuliko kuajiriwa kwani mishahara yenyewe badala ya kujikwimu ndo inakuangamiza kabisa. So think twice
 
Endelea kutafuta kaka/dada yangu dont give up kazi zipo utapata tu kujiajiri watu wanaongea tu
 
Kujiajiri kwa taifa kama hili bado sana. CAPITAL
 
sasa kaka, elezea elimu yako, 4m 4. 6, masters, bachelor, ya nini?????????? hizo ni computer programs kila mtu anazijua
 
sasa kaka, elezea elimu yako, 4m 4. 6, masters, bachelor, ya nini?????????? hizo ni computer programs kila mtu anazijua


Sasa kama kila mtu anazijua,mbona tumeambiwa kuwa kuna watu wamechaguliwa kuingia kidato cha kwanza wakati hawajui kusoma na kuandika !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sema wengi wanazijua, sio kila mtu.
 
elimu ni 4m4 najua kingereza cha kuandika na kusoma

Good, Jaribu kwny mabasi ya abiria yanayo vuka boda. Km Dar express, spider, kilimanjaro express etc utakuwa konda. Uwe unatoa matanganzo in both language. Bt microsoft muachie bilgate.
 
Kama huna kazi kabisa, tafuta baiskeli nzuri then anza uuzaji wa mayai. unachukua tray kwa Tsh 5500 na wewe unaenda unauza 6500. so unapata 1,000 kwa kila tray. kila siku ukiuza trays 50 utakuwa na uwezo wa kupata 50,000. na ukifanya kazi kwa siku 20 kwa mwezi utapata 1,000,000. unaweza kufanya hivyo wakati unatafuta kazi nyingine. aidha utatumia utaalamu wako wa computer kuweka mahesabu sawa ya wateja wako!!

kama hutaki hiyo basi nakushauri angalia kitu kingine kitakachokuingizia hata Tsh 5,000 kwa siku. Usikubali kukaa tu nyumbani (na ukiweza anza kuuza hata ice cream au kuwa basi dalali mwaminifu)
 

naunga mkono hoja
 
habar zenu natafuta kazi nimesomea Mircosoft office na Tally je ntapata kazi? Ukitaka kuwasiliana na mm tumia hii email.
Wingman7@vodamail.co.tz
au +255784429215
hivi vyuo vingine vipo kibiashara zaid na kupotezea watu muda...pole sana kijana
 
nenda shule acha uvi ww........................................................................................................
 
naunga mkono hoja

Naunga mkono kwa asilimia zote, hoja ya kimaendeleo kabisa ni muhimu akazingatia pia ni somo kwa wana JF wanaopatwa na ugumu wa kutafuta ajira.
Ila je capital vp? Maana kila k2 kinahitaji capital sasa.
 
tokeni zenu wote kazi nimeshapata jf haina mpango hao mtabaki kuvnjana nguvu
 
heshima mkuu.unaweza ukapoteza kaz bila kujua coz ya dharau!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…