M mamsapu Senior Member Joined Apr 22, 2011 Posts 111 Reaction score 25 Jan 13, 2012 #1 Natafuta kazi, nimesomea Bachelor of Business Administration, nimemaliza mwaka jana.
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,922 Reaction score 1,149 Jan 13, 2012 #3 mamsapu said: Natafuta kazi, nimesomea Bachelor of Business Administration, nimemaliza mwaka jana. Click to expand... Dah, Ndugu yangu kazi zingekuwa zinapatikana kwa style yako maisha yangekuwa rahisi sana. Jifunze Kuomba unaweza kusaidiwa maana hao wanaotafuta kazi ni wengi sio kazi zinawatafuta wao.
mamsapu said: Natafuta kazi, nimesomea Bachelor of Business Administration, nimemaliza mwaka jana. Click to expand... Dah, Ndugu yangu kazi zingekuwa zinapatikana kwa style yako maisha yangekuwa rahisi sana. Jifunze Kuomba unaweza kusaidiwa maana hao wanaotafuta kazi ni wengi sio kazi zinawatafuta wao.
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,649 Jan 13, 2012 #4 ​hakuna detailed information about ur CV,yaani umeweka vitu too general.
T TUMY JF-Expert Member Joined Apr 22, 2009 Posts 705 Reaction score 93 Jan 13, 2012 #5 Endelea kutafuta utapata, pitia magazeti na jaribu kutengeneza Network.
Ndachuwa JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 6,269 Reaction score 4,579 Jan 13, 2012 #6 Tafuta additional qualification, huku Private sector kila mjasiria mali anasimamia shughuli zake mwenyewe hivi ulichosomea hatukihitaji sana.
Tafuta additional qualification, huku Private sector kila mjasiria mali anasimamia shughuli zake mwenyewe hivi ulichosomea hatukihitaji sana.