Natafuta kazi

Natafuta kazi

CHIMPONGO

Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
43
Reaction score
3
Habari poleni na mihangaiko ya maisha. Mimi ni graduate wa Rural Development Planning kutoka chuo cha mipango Dodoma 2011, kwa yeyote mwenye kujua taasisi au shirika lenye uhitaji wa mtu wa taaluma tajwa anijuze ili nichangamkie. asanteni
 
fanya project hii nenda buguruni fanya plan pale kisha leta report si tunakuchangia
 
Back
Top Bottom