C CHIMPONGO Member Joined Feb 6, 2012 Posts 43 Reaction score 3 Feb 6, 2012 #1 Habari poleni na mihangaiko ya maisha. Mimi ni graduate wa Rural Development Planning kutoka chuo cha mipango Dodoma 2011, kwa yeyote mwenye kujua taasisi au shirika lenye uhitaji wa mtu wa taaluma tajwa anijuze ili nichangamkie. asanteni
Habari poleni na mihangaiko ya maisha. Mimi ni graduate wa Rural Development Planning kutoka chuo cha mipango Dodoma 2011, kwa yeyote mwenye kujua taasisi au shirika lenye uhitaji wa mtu wa taaluma tajwa anijuze ili nichangamkie. asanteni
K KDliverpool New Member Joined Feb 6, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Feb 6, 2012 #2 fanya project hii nenda buguruni fanya plan pale kisha leta report si tunakuchangia