I am a nurse professionally,worked for health programs with experience of more than 8 years.Please anyone here who have anything or have some connections which will fit me it will be ma pleasure.Pamoja katika ujenzi wa taifa.
Kwa fani yako sio mtu wa kuja kutafuta kazi hapa.....watu wa Afya ni hot cake!!! wanatafutwa sana, labda kama unachagua sehemu ya kazi....wewe ni Nurse wa Rank gani?
Ningekua nayo nisingekuja apa kuandika yote haya Bushbaby.I am nurse officer,ila lazima iwe dar coz nina evening studies naingia class saa kumi kamili.
Ningekua nayo nisingekuja apa kuandika yote haya Bushbaby.I am nurse officer,ila lazima iwe dar coz nina evening studies naingia class saa kumi kamili.