Natafuta kazi

Natafuta kazi

khamida

New Member
Joined
Sep 16, 2012
Posts
3
Reaction score
0
mimi nimemaliza diploma ya community development nina uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
 
Dada amida angalia sana utakutana na manyang'au humu au umeweka namba makusudi kibiashara?
 
jmn sio makusudi nipo serious ndio maana nikaandika my real contant jmn manyang'au acheni utani ee na sipo kibiashara ee
 
usihofu kwa kuwa ushatoa namba ya simu kazi wapata before tommorrow.........
 
unataka mshahjara wa sh ngapi??nina kazi
 
nakushauri ufanye application SOS na organization zingine, kwanza omba kama intern bila malipo
 
Back
Top Bottom