natafuta kaz yeyote inayoendana na field yangu nina degree ya sociology. kwa yeyote mwenye kujua wap naeza pata pa kujshkiza hasa mikoa ya kaskazin anijulishe tafadhali
natafuta kaz yeyote inayoendana na field yangu nina degree ya sociology. kwa yeyote mwenye kujua wap naeza pata pa kujshkiza hasa mikoa ya kaskazin anijulishe tafadhali
Ushauri wa bure kama umesoma Sociology jaribu kupita kwenye NGO's unaulizia kazi ya ku-volunteer. Wengi wanakubali ila kwa kukupa chakula na nauli tu. Ukishaanza utapewa kazi hivyo kupata experience.
Kuna ndugu yangu alimaliza Sociology akakaa karibia 3 years bila kazi, kwa kutumia hiyo strategy hapo juu, akaenda kwenye one of the NGO's akawa anavolunteer, ndani ya kama 3 months akaitwa na NGO nyingine aliokuwa anafanya nao kazi, sasa hivi ameajiliwa na NGO hiyo na wanamlipa vizuri.
Jaribu kuliko kukaa bila kazi kabisa.:lol: