natafuta kazi

natafuta kazi

jnia

Senior Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
112
Reaction score
37
mimi ni kijana ninayependa kujishughulisha, natafuta kazi yoyote ili niweze kujisogeza. nina elimu ya kidato cha nne, na kwasasa nipo collage. ningependa kufanya kazi yoyote ntakayopata mda ambao namaliza vipindi vyangu vya chuo, saa kumi na moja jioni.
 
Unssomea nini hapo college? Kuwa specific unataka kazi gani au ipi utaweza fanya maana ukisema yoyoye hata ujambazi unaweza

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
nachukua aircraft maintenance engineering, napenda kazi zilizo halali, stationary, supermarket, internet cafe, na nyinginezo
 
Back
Top Bottom