Wana jf mi ni kijana wa kitanzania natafuta kazi kama vile: kuuza kwenye maduka ya jumla, hardware, supermarket na statiory.
Sifa zangu:
1. Nina umri wa miaka 25
2. Nimehitimu kidato cha6 (HGL).
3. Nafanya kazi kwa kujituma na chini ya usimamizi mdogo.
4. Nina uzoefu wakutosha kuuza maduka ya jumla na stationary
5. Naweza kutumia kompyuta.
Mwenye kunihitaji tuwasiliane, napatikana Dar es salam maeneo ya Ubungo Riverside kupitia namba 0787344728/0752344728. Asanteni sana wadau.