Natafuta kazi

Ruth kadenge

Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
10
Reaction score
1
mimi ni msichana mwenye elimu ya form four, na nina certificate of elementary course in librarianship. pia nimesomea short course ya computer. na kazi ambazo nimewah kufanya nimewah kutoa huduma za stationary, huduma za m pesa, tigo pesa na airtel money kwa mda wa mwaka mmoja na miez miwil, ila kutokana na mshahara kutokidhi mahitaji nkaamua kuacha. hivyo nimekuja hapa kuomba msaada wenu wana jf. wa kupata kazi inayoendana na niliyoyaeleza. napatikana maeneo ya kimara. mwenye kunisaidia anaweza kuwasiliana na mimi
mawasiliano;
0654 496196
email- ruthjosekade@gmail.com

ASANTE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…