Natafuta kazi

Natafuta kazi

Baso

Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
34
Reaction score
9
Wadau,

Mimi ni kijana niliye maliza kidato cha sita (6) mwaka huu. Kama kuna kazi yoyote ambayo unahisi inanifaa naomba tuwasiliane kwa mawasiliano zaidi.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom