man julius
Member
- Oct 9, 2012
- 6
- 1
watanzania wenye moyo wa huruma niwezesheni kazi (part time) ya kufanya hali ni ngumu kwa sisi wazazi ambao hawakuwa na kitu na pia wakatutoka mapema, hata sehemu maalum ya kuishi ya kujivunia kama nyumba shamba hamna, mi nipo chua degree ya kiinjinia udsm lakini mbele sioni