Natafuta kazi

Amoury94

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
89
Reaction score
37
Mie ni kijana nilie maliza 4m4 mwaka jana sasa nimefaulu nimepata division 3 ya 23 nilikua mchepuo wa science nina C 5 sina F, ila sina pesa ya kujiendeleza nina miaka 19 kazi yeyote ile ila iwe ya kibinadam kwani naishi mie mama yangu ni pamoja na wadogo zangu wa 4 kwani baba alisha fariki tangu 2007 alie kuatayari kuniajiri number 0714329063 naishi Dar es salaam
 
Pole ila jaribu kuweka bandiko lako kule jukwaa la kazi.
 
Pole sna dogo! Mungu yuko nawe utapata mtumainie yeye2.
 
Pole sana na inaniuma sana kazana kutafuta utapata pia jaribu kutafuta wafadhil wakusaidie usome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…