Umeandika na hapohapo ukatoweka online.Mimi ni msichana ambaye nina elimu ya kidato cha nne pamoja na ujuzi wa kompyuta na nimesha fanya kazi ya u-typist lakini mkataba wangu ulisitishwa na kudhulumiwa haki zangu sikulipwa hata shilingi na hadi sasa nahangaikia malipo yangu.
Naombeni jamani msaada wenu kupata kazi ili hata mimi niweze kujikimu.
Mimi ni msichana ambaye nina elimu ya kidato cha nne pamoja na ujuzi wa kompyuta na nimesha fanya kazi ya u-typist lakini mkataba wangu ulisitishwa na kudhulumiwa haki zangu sikulipwa hata shilingi na hadi sasa nahangaikia malipo yangu.
Naombeni jamani msaada wenu kupata kazi ili hata mimi niweze kujikimu.
Umeandika na hapohapo ukatoweka online.
Ulidhulumiwa haki zako? Zipi? Kulikuwa na mkataba wa kazi? Unazijua haki zako? Una hakika ukipata kazi kwingine hutadhulumiwa haki zako? Upo wapi hasa? Mtwara au Singida?
muelekeze akasome nini coz yeye ndio ameshafika, amesema kuwa anahitaji kupata ajila ili apate pesa ya kujikimu, sasa hayo masomo ataweza kweli kulipia??Embu nenda kasome huko, form 4?
muelekeze akasome nini coz yeye ndio ameshafika, amesema kuwa anahitaji kupata ajila ili apate pesa ya kujikimu, sasa hayo masomo ataweza kweli kulipia??
CBE hawahitaji tuition fees?Wakuu sio mimi niliyeandika, kuna mwana JF mmoja alipita akakuta screen yangu ipo wazi aka post reply.
By the way nashauri angeenda CBE kusoma Certificate then Diploma then akifaulu asome full Adv Diploma/degree coz route ya form six haiaminiki sana.