Natafuta kiatamishi

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
905
Reaction score
1,002
Wakuu natafuta kiatamishi cha mayai kinachotumia mafuta ya taa bei kiwe chini ya 50 000
 
Sasa si bora uyalalie mwenyewe uyatotoleahe tu
 
Mbona elfu 50 nyingi sana, ngoja nikupe mbinu utotoleshe mwenyewe tena hautakuwa na gharama za kununua mafuta ya taa.

Twende sasa.......

Nenda mashineni kaombe pumba za mahindi debe 2 kisha uje uziweke kwenye ndoo kubwa mpaka nusu ya ndoo, baada ya hapo chukua mayai yako kisha uyaweke kwenye ndoo yenye pumba kwa mtindo wa kuyalaza, baada ya hapo jazia pumba mpaka juu kabisa kwenye ndoo.

Baada ya hapo subiria siku 21 za kupata vifaranga vyako vya kuku, kama ni bata au kanga utasubiri kwa siku 28.


NB.
Baada ya maelekezo niliyokupa kufeli ndio sasa utapata akili ya kwenda kununua incubator standard yenye bei kulingana na soko.

Kazi njema.
 
Safi
 
Mkuu nashukuru ila ina uhakika kama asilimia ngapi?
 
[emoji1787][emoji1787]

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nashukuru ila ina uhakika kama asilimia ngapi?
Kaka usikaze shingo, kama unataka kuingia kwenye kufuga basi ingia ukiwa serious.

Nakushauri jambo la msingi sasa.
Nenda kanunue incubator inayotumia umeme na solar yenye capacity ya mayai machache kisha uanze kutotolesha mwenyewe mayai yako. Nje ya hapo jiandae na maumivu.
 
cha kukushauli iyo elfu 50 yako nunua matetea 3 ya kienyeji yanayo atamia zen wawekee mayai utakua umefanikiwa. tetea moja 15000 hapo unapata 3. chenji buku 5000 unakula bia zako castle lite 3 na chipsi za 500 au mshkaki 500 unajipongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…