Natafuta kibarua chochote Mwanza

Natafuta kibarua chochote Mwanza

Tatizo mtaji tu ila Mwanza kuna fursa sana, watu wa Rwanda wamejaa sana wanatumia fursa vizuri tu.
 
Lete idea fursa ndogo ndogo tuone kama tutaweza
Unaweza kufungua cafe ambayo utakuwa unaza coffee kwa bei ya chini tu, kuna warwanda wanauza cappuccino kwa Tsh 2000 na ni nzuri sana, Latte, Americano nk na bei haifiki hata 5000 na watu wananunua hasa mjini hakuna sehem hizo.

Unaweza kuweka biashara ya pweza na ngisi kama kipato chako ni kidogo na ukauza sana hasa ukiweka maeneo ya mjini maana hakuna zaidi ya hotelini au uende nje ya mji ndo utapata.

Biashara ya simu na vifaa vyake inalipa sana kwa mwanza, ikiwezekana tumia miezi hata 6 kajifundishe ufundi simu.

Fursa zipo nyingi tu tena sana.
 
Nipo Mwanza kama kuna tu ana connection yoyote ya kazi aniunganishe mtaani kugumu sana. Nina elimu ya degree na pia leseni ya udereva umri wangu miaka 35. Nisaidie wakuu
Kazi za udereva zimejaa dar na dodoma

Mwanza huwez pata kazi kama hizo
 
Mwanza kugumu sana , lkn nikujichanganya tyu
Mwanza ni jiji la kibiashara siyo jiji la ajira

Tafuta mtaji fanya biashara siyo kusubili ajira ndugu yangu ajira jaribu dar, Arusha na dodoma
 
Unaweza kufungua cafe ambayo utakuwa unaza coffee kwa bei ya chini tu, kuna warwanda wanauza cappuccino kwa Tsh 2000 na ni nzuri sana, Latte, Americano nk na bei haifiki hata 5000 na watu wananunua hasa mjini hakuna sehem hizo.

Unaweza kuweka biashara ya pweza na ngisi kama kipato chako ni kidogo na ukauza sana hasa ukiweka maeneo ya mjini maana hakuna zaidi ya hotelini au uende nje ya mji ndo utapata.

Biashara ya simu na vifaa vyake inalipa sana kwa mwanza, ikiwezekana tumia miezi hata 6 kajifundishe ufundi simu.

Fursa zipo nyingi tu tena sana.
Ubalikiwe sana mwanza ukiwa na mtaji kutajilika siku mbili tu

Biashara mwanza ndo nyumban kwao siyo kwenda mwanza kutafuta ajira
 
Back
Top Bottom