Natafuta kibarua jamani kwa wenye kampuni au viwanda kama unania njema ya kunisaidia

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,654
Reaction score
8,564
Kwa kfupi hali mbaya mlio vitengo mtusaidie nasie wa chini namba yangu 0682-113313
 
Mkuu sasa si useme una-qualifications gani au unadhani kitengo watu wanaenda tuuu? Ni vema ujijue nini unaweza na nini unataka vinginevyo vitengo vitashindwa kukupatia fursa hata kuku-link maana hujafunguka mkuu
 
cjasema kazi nimesema kibarua
 
Hebu ni-pm elimu yako na mahali ulipo. Kuna mahali kuna kibarua.
 
Ur not serious,kibarua ni aina mojawapo ya kazi hata kama unalipwa kwa masaa au kwa kutwa,weka wazi shule yako maana watu hamjui kuwa darasa la saba ndo elimu haswa tena inaitwa ya msingi,au una uzoefu na vibarua vipi? Kuna kibarua cha kusuka nywele za kimasai kama unaweza sema hapa nikufanyie mchongo fasta,ukipenda hata South Africa utapelekwa maana ndo wanalipa zaidi.
 
O level
 
Kwa kfupi hali mbaya mlio vitengo mtusaidie nasie wa chini namba yangu 0682-113313

Kweli kwa mtindo huu shirikisho la afrika mashariki hatuliwezi: Mkenya hapa ange-attach mpaka CV yake. Hii dunia ya ushindani ndugu, hakuna anayejali hali yako mbaya, mwajiri anataka wafanyakazi/vibarua wenye tija, uwe mtoto wa mkulima au tajiri, nobody cares, to hell with your poverty, all that we care is the value you can promise to our business.
 
Kama upo O-level muda ni kikwazo,huwezi kufanya part time kwa hiyo level uliyopo,ungekuwa chuo alafu sio kilaza/kichwa darasani ningekupa akili ya kufanya part-time job. Mimi kama great Thinker nashauri Elimu kwanza japo najua una changamoto za hapa na pale hadi umefikiria kufanya kibarua.:spy:
 
Back
Top Bottom