Njoo hapaa wewe mama. Nina digirii ya thermo mwaka wa tatu sasa nipo na limama sema nayeye uchumi umekuwa mgumu. Nahitaji kupata pengine nahisi umeshushwa wewe kwa hitaji langu. Piga hatua tatu za ghafla pm.Wabariiii wapendwa
Jaman natafuta kiben10, napenda awe hb, sio sura kama ya harmorapa.
Yaani nataka awe anadikeza, ananifulia, ananiogesha, ananipikia, ananidrive nikienda job.
Yaan chochote ntakacho mwambia kwake yeeeeees bbby. Asiwe na wivu awe mpole kama uchebe wa shilole.
Yaan ntampenda ntamuhonga mpaka mpaka achanganyikiwe yaani, ntamhudumia kila kitu.
Unajua hivi viben10 vina raha yake we umuoni sister fey anaenjoy maisha.
Ila nataka wale vijana waliomaliza videgree vyao wamekaa home miaka 3 hawajapata kazi, najua wanajua uchungu SNA wa maisha wale watoto.
Just a joke's jaman huhuhuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba nikuivishee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah nimejikuta nimewaza hivyo tu, alafu mm bado kijana mbichiii
hhahahha, opportunity hizoooooo hahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ndo nimeusoma [emoji23]
aseme kwanza ana gari la kuuzia sura Viben10 tutiririke pm!
Ndiyo nauona.
Mbona sisi vibabu 70 hatutafutwi?Wabariiii wapendwa
Jaman natafuta kiben10, napenda awe hb, sio sura kama ya harmorapa.
Yaani nataka awe anadikeza, ananifulia, ananiogesha, ananipikia, ananidrive nikienda job.
Yaan chochote ntakacho mwambia kwake yeeeeees bbby. Asiwe na wivu awe mpole kama uchebe wa shilole.
Yaan ntampenda ntamuhonga mpaka mpaka achanganyikiwe yaani, ntamhudumia kila kitu.
Unajua hivi viben10 vina raha yake we umuoni sister fey anaenjoy maisha.
Ila nataka wale vijana waliomaliza videgree vyao wamekaa home miaka 3 hawajapata kazi, najua wanajua uchungu SNA wa maisha wale watoto.
Just a joke's jaman huhuhuu
Vibabu Saizi yao ni watoto wabichiMbona sisi vibabu 70 hatutafutwi?