Natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa mahindi na nafaka nyinginezo

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Habari natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa nafaka, yaani kupima mahindi au nafaka nyingine zimekauka au zina ubichi kiasi gani

Anayejua vinapatikana na bei zake anijuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…