Natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa mahindi na nafaka

Natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa mahindi na nafaka

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Habari natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa nafaka, yaani kupima mahindi au nafaka nyingine zimekauka au zina ubichi kiasi gani

Anayejua vinapatikana na bei zake anijuze
 
tafuta kijana wa SUA huku nafikiri ni ngumu sana kuwakuta shauri ya somo magumu kupita maelezo
 
Jaribu kuwacheki A to Z Textile Mills Ltd nafikiri wapo Arusha, hawa ndo watakuwa wanazalisha bidhaa za kupambana na sumu kuvu kwenye mahindi yakiwemo magunia maalumu, na huenda wakawa na vifaa vya kukaushia mahindi.....unaweza pia kuwacheki pale taasisi ya utafiti wa kilimo, kwa Dar wapo kama unaenda coka cola ukivuka mataa ya mwenge.
 
Back
Top Bottom