Jaribu kuwacheki A to Z Textile Mills Ltd nafikiri wapo Arusha, hawa ndo watakuwa wanazalisha bidhaa za kupambana na sumu kuvu kwenye mahindi yakiwemo magunia maalumu, na huenda wakawa na vifaa vya kukaushia mahindi.....unaweza pia kuwacheki pale taasisi ya utafiti wa kilimo, kwa Dar wapo kama unaenda coka cola ukivuka mataa ya mwenge.