Natafuta Kifaa hiki cha Internet

Natafuta Kifaa hiki cha Internet

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Nikiri kufaidika na michango yenu kwa jukwaa hili.
Kuna kifaa kinaitwa Respby pi (pichani) nataka kutumia kuanzisha program ya kuaccess masomo bila internet.

Naomba kujuzwa kinapatikana wapi, kinafanyaje kazi? Kama ni mradi kuna maelezo marefu. niko tayari tuandae kikao maalum kujadili. Ntakufidia kwa muda wako

Dr.Mussa Zaganza, 0713039875

device 1.PNG
device 2.PNG
 
Picha yako haiyonyeshi vizuli lkn kma upo dar nakushauli uwende machinga utapata
 
Sijawahi kukisikia aisee.

Kila siku tunajifunza kitu kwa kweli.
 
Hzo Raspberry Pi ni kma vi computer vidogo vyenye uwezo mdogo.

Mara nyingi watu hutumia Raspbian OS (hi ni based on Linux) na mara nyingi vinatumika kwaajili ya kurun bots (automated programs za kufanya kitu flani) au kubeba commands kwaajili ya kuendesha vitu kma robots, na IoT system zingine nyingi.

Sasa sijajua unataka kutumiaje kufanikisha hlo lengo lako.

Kwa huku bongo kuvipata ni shida sana. Wanaokuaga navyo wengi ni wanafunzi wa ICT wanaofanya projects mbali mbali na wao huagiza kutoka nje.

Ungeelezea vizuri zaidi kuwa unataka kutoa elimu bila internet kwa njia gani au software gani?
 
Naomba kujuzwa kinapatikana wapi
kama upo Dar, nenda Bafredo, makutano ya Sam Nujoma Rd. na Chuo Kikuu Rd. mita chache karib na daraja la Ubungo, au nenda web yao BAFREDO Electronics Limited - Innovation. Creativity. Imagination. , andaa kama 350k ivi


kinafanyaje kazi?
kina kazi nyingi

1. unaweza tumia kama PC, unainstall OS yake ya Linux ( Raspbian au nyinginezo )

2. Unafanyia project za electronics hasa robotics , IoT, ina micro-controller unaiprogram kwa Python
 
Back
Top Bottom