Uzuri wa spacio ni gari ngumu sana nadhani kwa sababu ni corolla yaan iwe ile ya zamani au hii ya sasa zote ni gari ngumu na zinavumilia sana mikiki mikikiWadau Habari za mida hii, ni matumaini yangu ni wazima mnaendelea na shuhuli za ujezi wa taifa licha ya changamoto kubwa za korona tulizonazo, moja kwa moja niende kwenye point nimekuwa nikitumia usafiri wa pik sasa kwa muda mrefu imefika mahali nakuwa na hamu Sana ya kutumia usafiri wa matairi manne kigari cha bei nafuu kuhusu swala la kushinda gereji Sio shida kwangu I'm ready to take risk kikubwa tu niwe mtu wa kwanza kwenye ukoo wetu kumiliki ndinga gharama isizid 1.5m niko Tanga
Hahahaaaaaaaaaaa aiseeeee !!! Sikusoma hapo aisee hahaha 1.5m ni bei ya fekon au kinglion hiyo hahahaaa.Mnamuelekeza aina ya gari ya kununua kwa bajeti yake ya 1.5m?
Akienda Sahare harudiTafuta Corolla 100 au 110, ukipata Toyota Sprinter nayo poa mafuta ya buku 5000. Unatamba kuanzia Kwa Njeka,Mikanjuni, Bombo,Sahare mpaka Nguvu Mali.
Ukienda Chichi au La vida wakati wa kuondoka wafuasi hukosi.
Kama upo Serious, nikuchekie Toyota Corolla 100.
[emoji6][emoji16][emoji16][emoji16]gari ya milioni 1???Wadau Habari za mida hii, ni matumaini yangu ni wazima mnaendelea na shuhuli za ujezi wa taifa licha ya changamoto kubwa za korona tulizonazo, moja kwa moja niende kwenye point nimekuwa nikitumia usafiri wa pik sasa kwa muda mrefu imefika mahali nakuwa na hamu Sana ya kutumia usafiri wa matairi manne kigari cha bei nafuu kuhusu swala la kushinda gereji Sio shida kwangu I'm ready to take risk kikubwa tu niwe mtu wa kwanza kwenye ukoo wetu kumiliki ndinga gharama isizid 1.5m niko Tanga
kwa 1.5M? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah! yani jf ni burudani isiyo kifaniChukua spacio walah hutojuta
Yaan ! Nimechangia kwa nguvu kweli sikuwa nimeona hapo chini pesa aliyo nayo huyu mnunuzi wetu.[emoji6][emoji16][emoji16][emoji16]gari ya milioni 1???
kwenye ukoo!
Kwahiyo unataka kumuuzia spacio kwa 1.5? Hata old model usiyokuwa na vioo 1.5 haiwezekaniChukua spacio walah hutojuta
Tuwasiliane pm Mkuu kama bado hujapataWadau Habari za mida hii, ni matumaini yangu ni wazima mnaendelea na shuhuli za ujezi wa taifa licha ya changamoto kubwa za korona tulizonazo, moja kwa moja niende kwenye point nimekuwa nikitumia usafiri wa pik sasa kwa muda mrefu imefika mahali nakuwa na hamu Sana ya kutumia usafiri wa matairi manne kigari cha bei nafuu kuhusu swala la kushinda gereji Sio shida kwangu I'm ready to take risk kikubwa tu niwe mtu wa kwanza kwenye ukoo wetu kumiliki ndinga gharama isizid 1.5m niko Tanga
Naona watu wanakurupuka tu, kwa 1.5 M labda jamaa atafute boda oda tuMnamuelekeza aina ya gari ya kununua kwa bajeti yake ya 1.5m?
Kwa maelezo yake kwamba garage sio ishu anapata gari tena anaweza pata nzuri tu labda atake kutia mbwembwe mwnyw sio lazima kila mtu aendeshe IST mkuu hzo ni za uchumi wa kati tupo sisi wa uchumi wa chini ndio gari zetu za bei hizoHahahaaaaaaaaaaa aiseeeee !!! Sikusoma hapo aisee hahaha 1.5m ni bei ya fekon au kinglion hiyo hahahaaa.
Hahaaaaa! aingie kupatana kuna toyota mark II moja nliona inauzwa 1.8m wanaweza kupunguziana hadi hapo alipo yeyeKwa maelezo yake kwamba garage sio ishu anapata gari tena anaweza pata nzuri tu labda atake kutia mbwembwe mwnyw sio lazima kila mtu aendeshe IST mkuu hzo ni za uchumi wa kati tupo sisi wa uchumi wa chini ndio gari zetu za bei hizo
Duh..!Wadau Habari za mida hii, ni matumaini yangu ni wazima mnaendelea na shuhuli za ujezi wa taifa licha ya changamoto kubwa za korona tulizonazo, moja kwa moja niende kwenye point nimekuwa nikitumia usafiri wa pik sasa kwa muda mrefu imefika mahali nakuwa na hamu Sana ya kutumia usafiri wa matairi manne kigari cha bei nafuu kuhusu swala la kushinda gereji Sio shida kwangu I'm ready to take risk kikubwa tu niwe mtu wa kwanza kwenye ukoo wetu kumiliki ndinga gharama isizid 1.5m niko Tanga