M m-yala Member Joined May 13, 2014 Posts 65 Reaction score 93 Nov 7, 2024 #1 Habari, natafuta kijana mmoja wa kiume, mchakarikaji akiwa anaishi maeneo ya Tabata Barakuda au Vingunguti itakuwa bora zaidi. Mawasiliano: 0764423726 Awe anajua kuchoma nyama vizuri awe mzoefu kwenye hilo eneo!
Habari, natafuta kijana mmoja wa kiume, mchakarikaji akiwa anaishi maeneo ya Tabata Barakuda au Vingunguti itakuwa bora zaidi. Mawasiliano: 0764423726 Awe anajua kuchoma nyama vizuri awe mzoefu kwenye hilo eneo!
Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,971 Reaction score 9,437 Nov 7, 2024 #2 Nyama ipi hiyo mkuu?
M m-yala Member Joined May 13, 2014 Posts 65 Reaction score 93 Nov 22, 2024 Thread starter #3 Habari waugwana. Natafuta kijana wa kuchoma nyama, eneo la kazi ni Tabata. Saa za kazi ni mida ya jioni kuanzia kumi jioni na kuendelea. Machinjioni Vingunguti atakuwa anachukulia nyama. 0764423726 tuwasiliane
Habari waugwana. Natafuta kijana wa kuchoma nyama, eneo la kazi ni Tabata. Saa za kazi ni mida ya jioni kuanzia kumi jioni na kuendelea. Machinjioni Vingunguti atakuwa anachukulia nyama. 0764423726 tuwasiliane