Natafuta kijana anayeweza kuchoma nyama vizuri maneno ya Tabata

m-yala

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
65
Reaction score
93
Habari, natafuta kijana mmoja wa kiume, mchakarikaji akiwa anaishi maeneo ya Tabata Barakuda au Vingunguti itakuwa bora zaidi.

Mawasiliano: 0764423726

Awe anajua kuchoma nyama vizuri awe mzoefu kwenye hilo eneo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…