Natafuta kijana mtaalamu wa kukaanga chips

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
411
Reaction score
725
Heshima mbele wakuu.

Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma na kukaanga kuku, broiler, sekela, na Aina zingine za kuku.

Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, nzuri.

Muda wa kazi kuanzia mchana hadi usiku (kama bado unajitafuta kuna geto la kizushi unaweza kulala hapo bila shida)

Eneo la kazi Goba hapo

Malipo wewe ndio utakuwa unanilipa mimi.

0769151528
 
Hizi biashara zinahitaji location zenye movement, je Hilo umelifanyia kazi?

Na mtaji unatowa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom