Natumai wote wazima! Next week Nina safari ya kuwa huko kibiashara nikitokea Arusha. Nasogeza product yangu kwenye maduka niliyopewa order. Kwakuwa Mimi huko ni mgeni, natafuta kijana mwenyeji(mshirika), mpambanaji/hustle na mwenye eneo kidogo hapo kwake la kufanyia kazi na kuhifadhi product.
Awe mdada/mkaka ni vyema akawa bachelor ili kuepuka mlolongo. Mimi nitafikia Kinyerezi so ni vizuri pia akawa karibu ili iwe rahisi kuziandaa product na kupeleka. Hakuna gharama yeyote unayotakiwa kutoa. Mtaji wako uwe karibu na Kinyerezi na uwe kwako na kusiwe mbali na barabara.
Sasa Utapataje faida/pesa kwenye fursa hii. Njoo inbox.
Huu ni wakati wa kujikwamua kama vijana. Tupambane pamoja.