makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
*Natafuta kiki Remix - Mtoto Nux*
_Mbeya Day Records_
Nataka nitoke kwenye gazeti,
Niuze sura
Niseme nilichezaga karate
Shuleni nipate bonge la kesi,
Niumizwe sura,
Nilete matata mpaka kwa Joyce
Kwenye radio zote mpaka runinga
Watangaze nimedundwa
Mpaka uso wangu umevimba
Au niwatukane Walionidunda
Ahsante nimevimba
Na Ndalichako amewatumbua Mimba
Niseme maticha wote wanatetema
Wakiniona wanashindwa hata kuema
Na Ndalichako amenena
Hawa watu na chuo wametemwa
Nataka nilete sinema
Mi ni bondia watu wanasema
Kiki ipi ipo njema
Au nichokoze wanipige tena..
Chorous
Mwenzenu nipigweje
Mwenzenu nipigweje
Nasikia waziri mkali
Wanasemaga Rais hatari
Ndalichako atakubali
Kunipeleka kwa Mako Chali
Mi natafakari
Kuipiga shule charii
Nishakuwa tayari
Tz mi ndio kichwa cha habari
Siku ile nilijaradia,
Nyuma nipo salama
Ila makofi yaliniingia,
Nashindwa kuachama
Salamu ziende kwa wale Maticha
Wamejuta kwa nini walinipiga
Sasa sifati Ratiba
Naogopwa kama Msiba
Naacha Shule naenda kwa kiba
Yoooooooo
Chorous
Mwenzenu nipigweje
Mwenzenu nipigweje
Nipigwe natoa makelele
Kelele oooh kelele x4
Nimekinukisha kinoma noma
Kelele oooh kelele x4
Mbeya day wameisoma
Kelele oooh kelele. By iam_lawrence34
_Mbeya Day Records_
Nataka nitoke kwenye gazeti,
Niuze sura
Niseme nilichezaga karate
Shuleni nipate bonge la kesi,
Niumizwe sura,
Nilete matata mpaka kwa Joyce
Kwenye radio zote mpaka runinga
Watangaze nimedundwa
Mpaka uso wangu umevimba
Au niwatukane Walionidunda
Ahsante nimevimba
Na Ndalichako amewatumbua Mimba
Niseme maticha wote wanatetema
Wakiniona wanashindwa hata kuema
Na Ndalichako amenena
Hawa watu na chuo wametemwa
Nataka nilete sinema
Mi ni bondia watu wanasema
Kiki ipi ipo njema
Au nichokoze wanipige tena..
Chorous
Mwenzenu nipigweje
Mwenzenu nipigweje
Nasikia waziri mkali
Wanasemaga Rais hatari
Ndalichako atakubali
Kunipeleka kwa Mako Chali
Mi natafakari
Kuipiga shule charii
Nishakuwa tayari
Tz mi ndio kichwa cha habari
Siku ile nilijaradia,
Nyuma nipo salama
Ila makofi yaliniingia,
Nashindwa kuachama
Salamu ziende kwa wale Maticha
Wamejuta kwa nini walinipiga
Sasa sifati Ratiba
Naogopwa kama Msiba
Naacha Shule naenda kwa kiba
Yoooooooo
Chorous
Mwenzenu nipigweje
Mwenzenu nipigweje
Nipigwe natoa makelele
Kelele oooh kelele x4
Nimekinukisha kinoma noma
Kelele oooh kelele x4
Mbeya day wameisoma
Kelele oooh kelele. By iam_lawrence34