Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Hehe wanteniKiki ya Pikipiki yangu aina ya Honda 110 imevunjika na imevunjikia sehemu ambayo haiwezekani kuchomelea, nimezunguka maduka kadhaa sijapata, naomba kuelekezwa maduka ya Dar ambapo naweza kupata.
Heshma kwenu.
Poa J3 ntafikaNenda kariakoo kwa Said utapata
Siiuzi hata ukinipa kontena la MakinikiaMkuu na shida na hiyo 110,niuzie ntakua nashtua tu
Tuache utani mkuu hiyo pikipiki naipenda sanaSiiuzi hata ukinipa kontena la Makinikia