Natafuta kiki

Natafuta kiki

mtutuwajambazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
520
Reaction score
310
Habari wanaJF,

Mi sitafuti kazi tayari ninayo. Natafuta kiki. Shukran.

Matusi hakuna.
 
Unatafuta KIKI, unadhani huku ni kama ulipotoka Facebook?

Unajiunga juzi tu alafu unatuletea Upuuzi wako hapa.
 
Unatafuta KIKI, unadhani huku ni kama ulipotoka Facebook?

Unajiunga juzi tu alafu unatuletea Upuuzi wako hapa.
Lighten up a lil bit Mzee. Compact mbona unanuna au ndo unga kilo mboga dash hujui jioni inafikaje?
 
Habari wanaJF,

Mi sitafuti kazi tayari ninayo. Natafuta kiki. Shukran.

Matusi hakuna.
An intelligent man is sometimes forced to be drunk to spend time with his fools.

By Ernest Hemingway..

Kwa hiyo tegemea matusi
 
Lighten up a lil bit Mzee. Compact mbona unanuna au ndo unga kilo mboga dash hujui jioni inafikaje?
Piga kazi kijana. Mambo ya Kiki hapa hapakufai. Ndiyo unga mboga dash kwa sababu mliwachagua wapuuzi wenzio
 
Back
Top Bottom