mtutuwajambazi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 520
- 310
Ni professional & certified banker.Nina wasiwasi na hao waliokuajiri kama nao wana akiri timamu
kumbe hili si liAcha kufananisha bang mbichi na mambo ya kijingakumbe hili si livuta bangi mbichi
Lighten up a lil bit Mzee. Compact mbona unanuna au ndo unga kilo mboga dash hujui jioni inafikaje?Unatafuta KIKI, unadhani huku ni kama ulipotoka Facebook?
Unajiunga juzi tu alafu unatuletea Upuuzi wako hapa.
An intelligent man is sometimes forced to be drunk to spend time with his fools.Habari wanaJF,
Mi sitafuti kazi tayari ninayo. Natafuta kiki. Shukran.
Matusi hakuna.
You indeed grasped my intent & sense of humor. Shukran mkuuAn intelligent man is sometimes forced to be drunk to spend time with his fools.
By Ernest Hemingway..
Kwa hiyo tegemea matusi
Kwetu mwakaleliKwenu Dar eeeh
Piga kazi kijana. Mambo ya Kiki hapa hapakufai. Ndiyo unga mboga dash kwa sababu mliwachagua wapuuzi wenzioLighten up a lil bit Mzee. Compact mbona unanuna au ndo unga kilo mboga dash hujui jioni inafikaje?
Haahahahaanatafuta kiki?eeeeeh makamanda ale kazi huyo
Nawaona makamanda vipensianatafuta kiki?eeeeeh makamanda ale kazi huyo