Natafuta kioo cha laptop toshiba satellite c850-b539 na fundi

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
jamani naomba msaada kujua bei na ufundi wa hiyo kitu, nimevunja bahati mbaya kioo. asanten
 
jamani mafundi wa jf mbona kimya?
 
Me naweza kukusaidia labda useme hicho kioo unakitaka kwa lini??na una haraka nacho sanaaa??naweza kukubadilishia pia kwenye laptop yako.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
nakitaka kwa haraka, uko wapi ww na gharama zako zikoje
 
Mkuu me nipo mbali kidogo sema nategemea kuwa dar hivi karibuni so ningeweza kukununulia huku nilipo na nikakuletea na kukuwekea mwenyewe, kukiweka ni kazi ya dakika 5 tu, so you decide. otherwise nadhani kariakoo watakuwa wanauza ila sema hela ni ndefu fatilia kwanza.
 
Mi nauza na kufit screen za Laptop.hiyo screen ya laptop yako ni 15"6 LED type.nichek nipo Dsm k'koo 0716-844978
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…