Natafuta kioo cha nyuma ya simu aina ya Tecno Spark

Natafuta kioo cha nyuma ya simu aina ya Tecno Spark

View attachment 3155181

Nisaidieni jinsi ya kupata au sehemu ya kupata kioo cha nyuma ya simu kwenye camera tecno spark 30c
Agiza online hakifiki $5, japo ni makosa yako mwenye kutoangalia risk, kwasabu sionagi sababu ya camera kuwa exposed hivyo, very poor design by TECNO
 
Back
Top Bottom