Nipo Mwanza, kama ambavyo nimeandika hapo juu ni kwamba simu yangu tajwa imeharibika kioo, nimewekewa kipya lakini inaonekana ni feki, hakioneshi vizuri. Msaada wa jinsi ya kupata kioo kingine na fundi mzuri wa kufix.