Natafuta kisimbuzi cha Azam

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Wakuu nahitaji dikoda ya Azam kwa anayeuza.

Inaweza kuwa dikoda tupu bila dish au dikoda na dish.

Kama unayo njoo pm au nichek kwa namba 0759 432 654 calls/sms au nicheki kwa watssap 0737 816 299.

Nipo DSM
 
Nami nasubiria dekoda ya kudandia, wana kawaida ya kuja mkuu.WATAKUJA.
 
Wakuu nahitaji dikoda ya Azam kwa anayeuza.

Inaweza kuwa dikoda tupu bila dish au dikoda na dish.

Kama unayo njoo pm au nichek kwa namba 0759 432 654 calls/sms au nicheki kwa watssap 0737 816 299.

Nipo DSM
Ukipata viwili nipasie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…