Natafuta kitabu cha simu ya kifo

Natafuta kitabu cha simu ya kifo

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,180
Reaction score
1,291
Wadau natafuta kitabu kiitwacho SIMU YA KIFO KImetungwa na Faraji John katalambura.

Nanunua kwa bei yeyote kiwe second hand au kipya.

Nipigie simu 754-290-306 au 718-184-872.

Asante.
 
Nataka na mimi cha EDDY GANZERI KITANZI

Pia huyohuyo KATARAMBULA lakini Chenyewe kinaitwa PILI PILIPILI kina story mbili. Story ya PILI PILIPILO na TAFADHARI NIADHIBU
 
Ohhh mkuu kitambo kidogo lakini nishawai ona hiki kitabu kwenye library ya mshua.. Labda nikipata muda nikakuchekie kama bado kipo... Binafsi sikukielewa na ile ari ya kufika hatima.. Walaa sikuwa nayo... Nikaachana nacho.
 
Back
Top Bottom