Markberry1555
Senior Member
- Jan 6, 2019
- 147
- 164
Ndugu zangu nisaidieni namna ya kukipata kitabu cha spoken English. Kina jalada la jeupe na weusi, picha ya mtu, kurasa hazivuki 200.
Nakihitaji kuna dogo langu anaingia form one. Pre-form one bado anazingua Kiingereza.
Kadownload soft copy... Vipo vingi sana mtandaoni

YggyxgtxhhhhUmekipata?
Shida nini