Natafuta kitabu cha Uhasibu kwa Kiswahili

Natafuta kitabu cha Uhasibu kwa Kiswahili

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
Salama wakuu !
Naomba msaada wenu niweze kupata kitabu chochote cha kufundisha accounting/ UHASIBU kwa lugha ya kiswahili, ili kusaidia kufundisha wajasiriamali/ wafanyakazi wenye tatizo la lugha ya kiingereza.

Niliwahi kuona na kusikia mhasibu mmoja ITV akijieleza kuwa ametunga kitabu cha uhasibu kwa kiswahili
ila bahati mbaya sikumbuki vizuri uko wapi na jina sahhi somebody SANGA ? ?

Kwa yeyote mwenye contact zake au mahala napoweza kupata hicho kitabu
 
Kitabu cha uhasibu au cha entrepreneurship???? Yaani unataka debit/credit waandike in swahili????? Maybe uende zanzibar ndo utapata coz huko ndo wanakitukuza kiswahili.
 
Kitabu cha uhasibu au cha entrepreneurship???? Yaani unataka debit/credit waandike in swahili????? Maybe uende zanzibar ndo utapata coz huko ndo wanakitukuza kiswahili.
kumbe wabara ni vibaraka vya wazungu!poleni
 
Back
Top Bottom