Salama wakuu !
Naomba msaada wenu niweze kupata kitabu chochote cha kufundisha accounting/ UHASIBU kwa lugha ya kiswahili, ili kusaidia kufundisha wajasiriamali/ wafanyakazi wenye tatizo la lugha ya kiingereza.
Niliwahi kuona na kusikia mhasibu mmoja ITV akijieleza kuwa ametunga kitabu cha uhasibu kwa kiswahili
ila bahati mbaya sikumbuki vizuri uko wapi na jina sahhi somebody SANGA ? ?
Kwa yeyote mwenye contact zake au mahala napoweza kupata hicho kitabu