nashukuru sana MIZIZI hicho kitanifaa nawezaje kupata nakala hiyo mi nipo dar actually kitabu hicho kina title human rights in tanzania selected cases and material published 1997 na CP MAINA.
Jaribu kwenda duka la vitabu pale Udsm. Mi nilikinunua mwaka juzi kwa sh 20,000. Kama ukikosa hapo, nenda faculty ya sheria nao pia huwa wanaviuza.