Wanajamii natafuta kitabu kimoja kizuri na detaild cha historia tulikuwa tukikisoma zamani sana mashuleni.
Kitabu hicho kinaitwa a Short History of Tanzania na Kimetungwa na Mwanahistoria nguli aitwae Prof Kimambo, nadhani ni kitabu pekee kinachoelezea jinsi ambavyo babu zetu walidanganywa na kunyang'anywa ardhi kuelekea ukoloni enzi hizo.
Kitabu hiki kitanikumbusha mambo yanayotokea hivi sasa.