Natafuta kitunguu swaumu kwa ajili ya kupanda HARAKA.

Natafuta kitunguu swaumu kwa ajili ya kupanda HARAKA.

utinotino

Senior Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
119
Reaction score
45
Habari wakuu,
Nimeandaa eka 2 ajili ya kupanda kitunguu swaumu. Sasa nilipotegemea kupata mbegu imeshindikana.
Basically nahitaji kitunguu swaumu kilichovunwa mwaka jana. Kinakua kimekomaa na kimekauka.
Msaada wa haraka unahitajika, maana vijana shambani wamekaa bure na nahitaji kuwahi kupanda ili mvua zisikute kitunguu shambani.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom