Natafuta kituo cha kufanyia mitihani wa CSEE kwa Dar

Lady niece

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
953
Reaction score
414
HABARI

Mdogo wangu hajafanikiwa amepata ufaulu wa div 4 point 37 na amekosa somo mawili la english na history hivyo tunatafuta kituo ambacho kiko karibu kwa hapa dar ili niweze kumlipia tena afanye tena hayo masomo kwani anayapenda sana nisaidieni marafiki wapi nitapata kituo na ni bei gani kwa kituo jamani nijibu sasa kwani siku zimekwisha na sitaki apewe penalty ya kulpia huo mtihani.

Nasubiri
 
Nitafute kwa namba 0764766940. Me ni mwal hapa dar . Tunaweza msajil kituon kwetu.na mi pia ni mwalimu wa masomo hayo,tutamsaidia kadri tutakavyo weza.
 
Mmmhhhhhh!!!si umuelekeze hicho kituo chenu mpaka akupm lol
 

Ni wewe sio mdogo wako, acha kudanganya.
 
asante initakupigia rafiki unapatikana wapi hapo dar?
Nitafute kwa namba 0764766940. Me ni mwal hapa dar . Tunaweza msajil kituon kwetu.na mi pia ni mwalimu wa masomo hayo,tutamsaidia kadri tutakavyo weza.
 

njoo siku yyte j3 hadi j.pili saa mbili asubuhi hadi saa mbili usiku.tupo karibu na mabibo hostel ukifika tu shuttle point za mabibo wasiliana nami 0768560009.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…