Natafuta kiwanda kinachouza chupa za plastic za kufanya packaging ya mafuta

Natafuta kiwanda kinachouza chupa za plastic za kufanya packaging ya mafuta

Simba plastic iko karibu na tazara mataa. Kutokea mjini.

Unatao oda wanakutengenezea kama unahitaji kwa wingi.
 
Asante sana Albimani inamaana naweza nenda na sample yangu then wakanitengenezea ?
 
Hapana wanakuanazo aina tofauti unachagua.
Ukitaka utoleshe za kwako zitakukosti kwakua watakulazimisha utoe oda kubwa.
 
Back
Top Bottom