natafuta kiwanja arusha

ngurati

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
221
Reaction score
240
Wanajanvi,

Natafuta kiwanja arusha bajeti yangu ni ndogo isizidi sh milioni 5. Sina preference maalum ya eneo ila isiwe mbali sana na mji,kwa maana nyingine pafikike kirahisi.
 
Maeneo ya ngulelo karibu na kanisa katoliki kuna viwanja ,tuwasiliane.
 
Wanajanvi,

Natafuta kiwanja arusha bajeti yangu ni ndogo isizidi sh milioni 5. Sina preference maalum ya eneo ila isiwe mbali sana na mji,kwa maana nyingine pafikike kirahisi.
Tafutia Sakina kwa Iddi na kusogea maeneo hayo unaweza kupata!!!!!!!!!!
Sehemu zingine viwanja ni aghali saana, jitahidi lakini na kwa Mromboo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…