Natafuta kiwanja Bunju au Mbweni

Natafuta kiwanja Bunju au Mbweni

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,793
Reaction score
2,401
Salaam wadau. Ninatafuta kiwanja lililopimwa kwenye mradi wa viwanja 20,000 eneo la Bunju au Mbweni.

Ukubwa wa kiwanja kiwe si chini ya sqm 1,500. Kama unacho tafadhali tuwasiliane hapa au PM.

Tafadhali uje na bei kabisa.
 
Screenshot_20210928-202430.png


Taarifa za kiwanja hizo hapo

ukikielewa nitafute 0625750755

Bei ni 3.5mil
 
Back
Top Bottom