Habari,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji Kiwanja chenye kuanza na ukubwa Wa nusu eka mpaka eka 1 hivi,,, kati ya maeneo haya
ya Matombo, Dumila, Magole, Mkundi, Msowero na Ngerengere - Morogoro...