mwakifamba
Member
- Sep 7, 2014
- 47
- 15
Acha unafiki uende mbinguni! Unaonekana hata milion 5 huijui. Mleta mada kwa maeneo uliyotaja na kwa size uliyosema, utapata tu very soon, asikutishe mtu!Kwa maeneo hayo andaa kuanzia 5 Million. Maisha siyo rahisi kiasi hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado stage 1 uwe mchawiKwa maeneo hayo andaa kuanzia 5 Million. Maisha siyo rahisi kiasi hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kiwanja ukubwa huo kipo kibaha misugusugu (Check point ya TRA) ,ila kinaanzia 1.8 milioni. Kwa viwanja vya kibaha check kwa 0713039875Habari.
Natafuta kiwanja kuanzia sqm 350 kuwndelea kwa ajili ya makazi kuanzia maeneo ya kibaha kwa matias kwenda hadi kiluvya pande zote pia hadi vikawe. Kilichopimwa au hakijapimwa.
Ni PM km unajua kama kipo kinachouzwa