Natafuta kiwanja cha ujazo wa chini (low density ) morogoro

Natafuta kiwanja cha ujazo wa chini (low density ) morogoro

Malinyingi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
864
Reaction score
164
Ndugu wana jamii nina mpango wa kuhamia morogoro naninahitaji kufanya ujenzi vivyo basi nahitaji kiwanja kitakacho kuwa na ukubwa wa "low density" na huduma za umeme na maji pia viwepo.
 
Back
Top Bottom