Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Fanya Kuni pm fastaKisiwe mbali sana.Gari moja au daladala nauli isizidi 1000.sehemu yenye umeme.umbali usizidi Km 15 mpaka city center.kiwanja kiweze kujenga vyumba 4.kiwe na.U kubwa mita 500.ofa yangu 5000.000 .milioni tano tu.kama unacho toa namba tufanye biashara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaa uandike vizur kwanza
Hizo mita 500 unazijua?
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua anamaanisha 500sqKaa uandike vizur kwanza
Hizo mita 500 unazijua?